Nehemiah 9:4

4 aWalawi wafuatao walikuwa wamesimama kwenye ngazi: Yeshua, Bani, Kadmieli, Shebania, Buni, Sherebia, Bani na Kenani. Hawa walimlilia Bwana Mwenyezi Mungu wao kwa sauti kubwa.
Copyright information for SwhKC