Proverbs 11:24-25


24 aKuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi,
mwingine huzuia, lakini huwa maskini.


25 bMtu mkarimu atastawi;
yeye awaburudishaye wengine
ataburudishwa mwenyewe.

Copyright information for SwhKC