Proverbs 21:11


11 aWakati mwenye mzaha ameadhibiwa,
mjinga hupata hekima;
wakati mtu mwenye hekima afundishwapo,
hupata maarifa.

Copyright information for SwhKC