Psalms 146:3-6


3 aUsiweke tumaini lako kwa wakuu,
kwa wanadamu ambao hufa,
ambao hawawezi kuokoa.

4 bRoho yao itokapo hurudi mavumbini,
siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma.


5 cHeri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake,
ambaye tumaini lake ni katika Bwana, Mungu wake,

6 dMuumba wa mbingu na nchi,
na bahari na vyote vilivyomo ndani yake:
Bwana anayedumu kuwa mwaminifu
milele na milele.
Copyright information for SwhKC