Psalms 34:7-9
7 aMalaika wa Bwana hufanya kituo
akiwazunguka wale wamchao,
naye huwaokoa.
8 bOnjeni mwone kwamba Bwana ni mwema,
heri mtu yule anayemkimbilia.
9 cMcheni Bwana enyi watakatifu wake,
kwa maana wale wamchao
hawapungukiwi na chochote.
Copyright information for
SwhKC