Psalms 87:4


4 a“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu
Rahabu hapa ni jina la ushairi la Misri.
na Babeli
miongoni mwa wale wanaonikubali mimi:
Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi,
Kushi hapa ina maana ya Naili ya juu, yaani Ethiopia.

nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ”

Copyright information for SwhKC