Psalms 89:33-34


33 alakini sitauondoa upendo wangu kwake,
wala sitausaliti uaminifu wangu kamwe.

34 bMimi sitavunja agano langu
wala sitabadili lile ambalo midomo yangu imelitamka.
Copyright information for SwhKC