Ezra 2

Orodha Ya Watu Waliorudi Kutoka Uhamishoni

1Basi hawa ndio watu wa jimbo, waliotoka uhamishoni ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirejea Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake,
2wakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana):

Orodha ya watu wa Israeli ilikuwa:3wazao wa Paroshi 2,172 4wa Shefatia 372 5wa Ara 775 6wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,812 7wa Elamu 1,254 8wa Zatu 945 9wa Zaka 760 10wa Bani 642 11wa Bebai 623 12wa Azgadi 1,222 13wa Adonikamu 666 14wa Bigwai 2,056 15wa Adini 454 16wa Ateri (kwa Hezekia) 98 17wa Besai 323 18wa Yora 112 19wa Hashumu 223 20wa Gibari 95 22wa Netofa 56 23wa Anathothi 128 24wa Azmawethi 42 25wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743 26wa Rama na Geba 621 27wa Mikmashi 122 28wa Betheli na Ai 223 29wa Nebo 52 30wa Magbishi 156 31wa Elamu ile ingine 1,254 32wa Harimu 320 33wa Lodi, Hadidi na Ono 725 34wa Yeriko 345 35wa Senaa 3,630
36

Makuhani:

37wa Imeri 1,052 38wa Pashuri 1,247 39wa Harimu 1,017
40

Walawi:

41

Waimbaji:

42

Mabawabu wa lango la Hekalu:

43

Wanethini
2.43 Yaani watumishi wa Hekalu (pia 2:58, 70)
:
  • wazao wa
  • Siha, Hasufa, tabaothi,
44Kerosi, Siaha, Padoni, 45Lebana, Hagaba, Akubu, 46Hagabu, Shalmai, Hanani, 47Gideli, Gahari, Reaya, 48Resini, Nekoda, Gazamu, 49Uza, Pasea, Besai, 50Asna, Meunimu, Nefusimu, 51Bakbuki, Hakufa, Harhuri, 52Basluthi, Mehida, Harsha, 53Barkosi, Sisera, Tema, 54Nesia na Hatifa. 55Wazao wa watumishi wa Solomoni:
  • wazao wa
  • Sotai, Hasaferethi, Peruda,
56Yaala, Darkoni, Gideli, 57Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Ami. 58Wanethini na wazao wa watumishi wa Solomoni 392
59

Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuonyesha ya kuwa jamaa zao zilitokana na uzao wa Israeli:

60Wazao wa Delaya, Tobia na Nekoda 652 61

Kutoka miongoni mwa makuhani:
  • Wazao wa
  • Hobaya, Hakosi, Barzilai (ambaye alikuwa ameoa binti wa Barzilai Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo.)


62Hawa walitafuta orodha ya jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kwenye kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi. 63Mtawala aliwaagiza wasile chakula cho chote kitakatifu mpaka awepo kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu
2.63 Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha
.64Kundi lote lilikuwa na watu 42,360; 65pamoja na hao kulikuwapo na watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwapo waimbaji wanaume na wanawake 200. 66Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, 67ngamia 435 na punda 6,720.68Walipofika kwenye nyumba ya BWANA huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika lile eneo lake. 69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000
2.69 Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500
za dhahabu, mane 5,000
2.69 Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900
za fedha na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hii.

70Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na Wanethini waliishi mijini mwao, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi kwenye miji yao.

Copyright information for Neno