‏ 1 Chronicles 15:11

11 aKisha Daudi akawaita makuhani Sadoki na Abiathari, pamoja na Walawi Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu.
Copyright information for SwhNEN