1 Chronicles 19:6
6 aWaamoni walipotambua kuwa wamekuwa machukizo kwa Daudi, Hanuni na Waamoni wakatuma talanta 1,000 ▼▼Talanta 1,000 za fedha ni sawa na tani 34.
za fedha ili kukodisha magari ya vita pamoja na waendeshaji wa hayo magari ya kukokotwa na farasi, kutoka Aramu-Naharaimu, ▼▼Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi.
Aramu-Maaka na Soba.
Copyright information for
SwhNEN