1 Chronicles 2:7

7 aMwana wa Karmi alikuwa:
Akari,
Akari maana yake Taabisha; pia anaitwa Akani (Yos 6:1-26; 22:20).
ambaye alileta taabu kwa Waisraeli kwa kukiuka onyo la kutokuchukua vitu vilivyokuwa vimewekwa wakfu.
Copyright information for SwhNEN