1 Corinthians 13:4-7
4 aUpendo huvumilia, upendo hufadhili, upendo hauoni wivu, hauna majivuno, hauna kiburi. 5 bHaukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, haukasiriki upesi, hauweki kumbukumbu ya mabaya. 6 cUpendo haufurahii mabaya bali hufurahi pamoja na kweli. 7 dUpendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.
Copyright information for
SwhNEN