1 Corinthians 16:22

22 aKama mtu yeyote hampendi Bwana Yesu Kristo, na alaaniwe. Bwana wetu, njoo.
Kwa Kiaramu ni Marana tha.


Copyright information for SwhNEN