1 Corinthians 16:5-6
Mahitaji Binafsi
5 aBaada ya kupitia Makedonia nitakuja kwenu, maana ninakusudia kupitia Makedonia. 6 bHuenda nitakaa nanyi kwa muda, au hata kukaa nanyi kipindi chote cha baridi, ili mweze kunisaidia katika safari yangu, popote niendapo.
Copyright information for
SwhNEN