1 Corinthians 3:21-23

21 aHivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu, 22 bikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa
Yaani Petro.
au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu
23 dna ninyi ni wa Kristo, naye Kristo ni wa Mungu.

Copyright information for SwhNEN