1 Corinthians 4:1-2

Mawakili Wa Siri Za Mungu

1 aBasi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu. 2 bTena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu.
Copyright information for SwhNEN