1 Corinthians 5:9-10
9 aNiliwaandikia katika waraka wangu kuwa msishirikiane na wazinzi. 10 bSina maana kwamba msishirikiane na wazinzi wa ulimwengu huu, au wenye tamaa mbaya, wanyangʼanyi au waabudu sanamu. Kwa kufanya hivyo ingewalazimu mtoke ulimwenguni humu.
Copyright information for
SwhNEN