1 Kings 5:11
11 anaye Solomoni akampa Hiramu kori 20,000 ▼▼Kori 20,000 ni sawa na madebe 240,000.
za ngano kama chakula kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, pamoja na mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa bathi 20,000. ▼▼Bathi 20,000 ni sawa na madebe 200.
Solomoni aliendelea kumfanyia Hiramu hivyo mwaka baada ya mwaka.
Copyright information for
SwhNEN