1 Kings 7:38
38Kisha akatengeneza masinia kumi ya shaba, kila moja likiwa na ujazo wa bathi arobaini, ▼▼Bathi 40 ni sawa na lita 800.
yakiwa na kipenyo cha dhiraa nne ▼▼Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.
kila sinia moja kwa kila kimoja ya vile vitako kumi.
Copyright information for
SwhNEN