1 Samuel 17:4
4 aShujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri moja. ▼▼Dhiraa sita na shibiri moja ni sawa na mita 3, au futi 9 na inchi 8.
Copyright information for
SwhNEN