1 Samuel 23:11-12
11Je, watu wa Keila watanisalimisha kwake? Je, Sauli atateremka, kama mtumishi wako alivyosikia? Ee Bwana, Mungu wa Israeli, mwambie mtumishi wako.”Naye Bwana akasema, “Ndiyo, atashuka.”
12Daudi akauliza tena, “Je watu wa Keila watanisalimisha mimi pamoja na watu wangu kwa Sauli?”
Naye Bwana akasema, “Ndiyo, watafanya hivyo.”
Copyright information for
SwhNEN