1 Samuel 4:5-6
5 aWakati Sanduku la Agano la Bwana lilikuja kambini, Waisraeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu hata ardhi ikatikisika. 6 bWafilisti waliposikia makelele wakauliza, “Ni nini makelele haya yote katika kambi ya Waebrania?”Walipofahamu kuwa Sanduku la Bwana limekuja kambini,
Copyright information for
SwhNEN