1 Samuel 6:4
4 aWafilisti wakawauliza, “Ni sadaka gani ya hatia tutakayompelekea?”
Wakajibu, “Majipu matano ya dhahabu na panya wa dhahabu watano, kulingana na idadi ya watawala wa Wafilisti, kwa sababu tauni iyo hiyo imewaua ninyi na watawala wenu.
Copyright information for
SwhNEN