2 Chronicles 29:35
35 aKulikuwa na sadaka nyingi za kuteketezwa, pamoja na mafuta ya wanyama ya sadaka za amani na sadaka za kinywaji ambazo ziliambatana na sadaka za kuteketezwa.
Kwa hiyo huduma ya Hekalu la Bwana ikarudishwa kwa upya.
Copyright information for
SwhNEN