2 Chronicles 32:5
5 aHezekia akafanya kazi kwa bidii kukarabati sehemu zote zilizokuwa zimebomoka za ukuta na kujenga minara juu yake. Akajenga ukuta mwingine nje ya ule uliokuwepo na kuimarisha Milo ▼▼Milo maana yake Boma la Ngome.
katika Mji wa Daudi. Akatengeneza pia silaha nyingi na ngao.
Copyright information for
SwhNEN