2 Chronicles 34:14
Kitabu Cha Sheria Chapatikana
(2 Wafalme 22:3-20)
14 aWakati walikuwa wakizitoa nje fedha zilizokuwa zimetolewa kwenye Hekalu la Bwana, kuhani Hilkia akakipata kile Kitabu cha Sheria ya Bwana kilichokua kimetolewa kwa mkono wa Mose.
Copyright information for
SwhNEN