‏ 2 Corinthians 11:23-24

23 aJe, wao ni watumishi wa Kristo? (Nanena kiwazimu.) Mimi ni zaidi yao. Nimefanya kazi kwa bidii kuwaliko wao, nimefungwa gerezani mara kwa mara, nimechapwa mijeledi sana, na nimekabiliwa na mauti mara nyingi. 24 bMara tano nimechapwa na Wayahudi viboko arobaini kasoro kimoja.
Copyright information for SwhNEN