2 Kings 15:19-20
19 aKisha Pulu mfalme wa Ashuru akaishambulia Israeli. Menahemu mfalme wa Israeli akampa talanta elfu moja za fedha ▼▼Talanta 1,000 za fedha ni sawa na tani 34.
ili amsaidie na kumwezesha katika utawala wake. 20 cMenahemu akatoza fedha hizi kwa nguvu kutoka kwa Israeli. Kila mtu tajiri alilazimika kuchanga shekeli hamsini za fedha ▼▼Shekeli 50 za fedha ni sawa na gramu 600.
ambazo alipewa mfalme wa Ashuru. Basi mfalme wa Ashuru akajiondoa na hakuendelea kuikalia nchi.
Copyright information for
SwhNEN