2 Kings 18:2-3
2 aAlikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Mama yake aliitwa Abiya binti Zekaria. 3 bAkafanya yaliyo mema machoni pa Bwana, kama Daudi baba yake alivyofanya.
Copyright information for
SwhNEN