2 Kings 24:17-18
17 aAkamfanya Matania, ndugu wa baba yake Yehoyakini, kuwa mfalme mahali pake, na akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia.Sedekia Mfalme Wa Yuda
(2 Nyakati 36:11-12; Yeremia 52:1-3)
18 bSedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake aliitwa Hamutali binti Yeremia, kutoka Libna.
Copyright information for
SwhNEN