2 Samuel 5:17
Daudi Awashinda Wafilisti
(1 Nyakati 14:8-17)
17 aWafilisti waliposikia kuwa Daudi ametiwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli, wakapanda na jeshi lao lote kwenda kumsaka, lakini Daudi akapata habari hizo, naye akateremka kwenye ngome.
Copyright information for
SwhNEN