2 Samuel 8:8
8 aKutoka miji ya Beta ▼▼Beta ulikuwa mji wa Aramu-Soba ambao uliitwa Teba kwa Kiaramu; pia uliitwa Tibhathi (
1Nya 18:8).
na Berothai, iliyokuwa miji ya Hadadezeri, Mfalme Daudi akatwaa shaba nyingi sana.
Copyright information for
SwhNEN