Acts 13:1

(13:1–14:28)

Barnaba Na Sauli Wanatumwa

1 aKatika kanisa huko Antiokia ya Shamu walikuwako manabii na walimu, yaani: Barnaba, Simeoni aitwaye Nigeri, Lukio Mkirene, Manaeni aliyekuwa amelelewa pamoja na Mfalme Herode Agripa, na Sauli.
Copyright information for SwhNEN