Acts 2:19-21
19 aNami nitaonyesha maajabu juu mbinguni,na ishara chini duniani:
damu, moto, na mawimbi ya moshi.
20 bJua litakuwa giza
na mwezi utakuwa mwekundu kama damu,
kabla ya kuja siku ile kuu ya Bwana
iliyo tukufu.
21 cNa kila mtu atakayeliitia
jina la Bwana, ataokolewa.’
Copyright information for
SwhNEN