Acts 2:3-4

3 aZikatokea ndimi kama za moto zilizogawanyika na kukaa juu ya kila mmoja wao. 4 bWote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.

Copyright information for SwhNEN