Acts 20:7
Eutiko Afufuliwa Huko Troa
7 aSiku ya kwanza ya juma tulikutana pamoja kwa ajili ya kumega mkate. Paulo akaongea na watu, naye kwa kuwa alikuwa amekusudia kuondoka kesho yake, aliendelea kuongea mpaka usiku wa manane.
Copyright information for
SwhNEN