Acts 23:23
Paulo Ahamishiwa Kaisaria
23 aKisha yule jemadari akawaita viongozi wake wawili wa askari akawaambia, “Jiandaeni kuondoka saa tatu usiku huu kuelekea Kaisaria pamoja na askari 200, wapanda farasi sabini na watu 200 wenye mikuki.
Copyright information for
SwhNEN