Amos 4:10


10 a“Niliwapelekea tauni miongoni mwenu
kama nilivyofanya kule Misri.
Niliwaua vijana wenu wa kiume kwa upanga,
niliwachukua farasi wenu.
Nilijaza pua zenu kwa uvundo kutoka kwenye kambi zenu,
hata hivyo hamjanirudia mimi,”
asema Bwana.
Copyright information for SwhNEN