Amos 4:11


11 a“Niliwaangamiza baadhi yenu kama
nilivyoangamiza Sodoma na Gomora.
Mlikuwa kama kijiti kiwakacho kilichonyakuliwa motoni,
hata hivyo hamjanirudia,”
asema Bwana.
Copyright information for SwhNEN