Amos 4:13


13 aYeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo,
na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu,
yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza,
na kukanyaga mahali pa juu pa nchi:
Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.
Copyright information for SwhNEN