Deuteronomy 11:13-15
13 aHivyo kama mkiyatii maagizo yangu ninayowapa leo kwa uaminifu, yaani kwa kumpenda Bwana Mungu wenu, na kumtumikia kwa moyo wako wote na kwa roho yenu yote, 14 bndipo atawanyweshea mvua katika nchi yenu kwa majira yake, mvua ya masika na ya vuli, ili mpate kuvuna nafaka zenu, divai mpya na mafuta. 15 cNitawapa majani kwa ajili ya ngʼombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.
Copyright information for
SwhNEN