Deuteronomy 12:7-8
7 aHapo, katika uwepo wa Bwana Mungu wenu, ninyi pamoja na jamaa zenu, mtakula na kufurahia kila kitu ambacho mmegusa kwa mikono yenu, kwa sababu Bwana Mungu wenu amewabariki.
8 bMsifanye kama tunavyofanya hapa leo, kila mtu anavyopenda mwenyewe,
Copyright information for
SwhNEN