Deuteronomy 32:10-12
10 aKatika nchi ya jangwa alimkuta,
katika nyika tupu ivumayo upepo.
Alimhifadhi na kumtunza;
akamlinda kama mboni ya jicho lake,
11 bkama tai avurugaye kiota chake,
na kurukaruka juu ya makinda yake,
ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka,
na huwachukua kwenye mabawa yake.
12 c Bwana peke yake alimwongoza;
hakuwepo mungu mgeni pamoja naye.
Copyright information for
SwhNEN