Ecclesiastes 10:16-17


16 aOle wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa
na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi.
17 bHeri wewe, ee nchi ambayo mfalme wako ni wa uzao wenye kuheshimika
na ambayo wakuu wako hula chakula kwa wakati unaofaa:
ili kupata nguvu na si kwa ajili ya ulevi.
Copyright information for SwhNEN