Ecclesiastes 10:20


20 aUsimshutumu mfalme hata ikiwa ni katika mawazo yako,
au kumlaani tajiri katika chumba chako cha kulala,
kwa sababu ndege wa angani wanaweza kuchukua maneno yako,
naye ndege anayeruka anaweza kutoa taarifa ya yale uliyosema.
Copyright information for SwhNEN