Ecclesiastes 12:5
5 awakati watu watakapoogopa kilichoinuka juuna hatari zitakazokuwepo barabarani;
wakati mlozi utakapochanua maua
na panzi kujikokota
nawe usiwe na shauku ya kitu chochote.
Ndipo mwanadamu aiendea nyumba yake ya milele
nao waombolezaji wakizunguka barabarani.
Copyright information for
SwhNEN