Ecclesiastes 4:1
Uonevu, Taabu, Uadui
1 aNikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua:
Nikaona machozi ya walioonewa,
wala hawana wa kuwafariji;
uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea,
wala hawana wa kuwafariji.
Copyright information for
SwhNEN