Esther 3:1
Hila Ya Hamani Kuwaangamiza Wayahudi
1 aBaada ya matukio haya, Mfalme Ahasuero alimheshimu Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, akampandisha na kumpa kiti chake cha heshima cha juu sana kuliko wakuu wengine wote.
Copyright information for
SwhNEN