Exodus 12:25-26

25 aMtakapoingia katika nchi Bwana atakayowapa kama alivyoahidi, shikeni desturi hii. 26 bWatoto wenu watakapowauliza, ‘Sikukuu hii ina maana gani kwenu?’
Copyright information for SwhNEN