Exodus 2:23-25

23 aBaada ya muda mrefu, mfalme wa Misri akafa. Waisraeli wakalia kwa huzuni katika utumwa wao, walilia na kilio chao cha kutaka msaada kwa ajili ya utumwa kikamfikia Mungu. 24 bMungu akasikia kilio chao cha huzuni, akakumbuka Agano alilofanya na Abrahamu pamoja na Isaki na Yakobo. 25 cKwa hiyo Mungu akawaangalia Waisraeli na kuwahurumia.

Copyright information for SwhNEN